Mzee Yusuf Aenda MAKA kuhiji



Baada ya kutubu kwa yale aliyokuwa akiyafanya Mzee Yusuf sasa aenda kuhiji MAKA hii inadhihirisha kuwa Mzee Yusuf kaamua kweli kuachana na maswala ya Muziki.. Mwenyezi Mungu amuongoze zaidi Amin

Comments