Magufuli awasili Pemba kwa ziara ya kikazi ya siku mbili


Rais Dkt John Pombe Magufuli akiwa ameambatana na mkewe mama Janeth,wakisalimiana na wenyeji wao mara baada ya kuwasili Pemba mapema leo kwa ziara ya kikazi ya siku mbili visiwani humo,ambapo hapo baadae ataelekea Unguja kuendelea na ziara yake ya kikazi .

Rais Dkt John Pombe Magufuli akiwa ameambatana na mkewe mama Janeth,na ujumbe mwingine aliofuatana nao wakitazama kikundi cha ngoma za asili mara baada ya kuwasili Pemba mapema leo kwa ziara ya kikazi ya siku mbili visiwani humo,ambapo hapo baadae ataelekea Unguja kuendelea na ziara yake ya kikazi.

Comments

Popular posts from this blog

Alichokisema aliyekuwa katibu wa chadema mkoani Mwanza baada ya kutimkia CCM

UFUGAJI BORA WA KUKU WA KIENYEJI

Moto wa mkaa wamuuwa mchimba kisima jijini Arusha