Aliyedaiwa kufariki Dunia miaka 200 iliyopita, apatikana hai


Binadamu anaesadikiwa kufariki zaidi ya miaka 200 iliyopita amepatikana akiwa hai nchini Mongolia katika hali ya kutojiweza au kupooza.

Mzimu huo uliopatikana katika mji wa Songino Khairkhan nchini Mongolia, ulivumbuliwa na mtu aliejulikana kama Dalai Rama na unasadikiwa kuishi miaka ya zamani sana maeneo ya China na India.

Dk Barry Kerzin ndiye alieufanyia uchunguzi mwili huo na kuthibitisha kuwa binadamu huyo aliishi mnamo karne ya nne au ya sita kabla ya kuzaliwa kristo na tangu alipofariki ni zaidi ya miaka 200 imepita.

Wananchi wa eneo hilo wanaamini jambo hilo lina imani za kishirikina ndani yake na wengine wakidai mizimu hiyo huonekana mara kwa mara nchini India.

Comments

Popular posts from this blog

Alichokisema aliyekuwa katibu wa chadema mkoani Mwanza baada ya kutimkia CCM

UFUGAJI BORA WA KUKU WA KIENYEJI

Moto wa mkaa wamuuwa mchimba kisima jijini Arusha